![]() |
| Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema na meya wa manispaa ya Moshi ,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi katika kata ya Longuo mjini Moshi. |
![]() |
| Ofisi mpya ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kata ya Longuo B. |
![]() |
| Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chadema taifa na meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akikata utepe kufungua ofisi mpya ya kata ya Longuo B. |
![]() |
| Ofisi mpya ya Chadema kata ya, Longuo manispaa ya Moshi ikafunguliwa rasmi. |





No comments:
Post a Comment