Habari za Punde

*GABRIEL MUNASA AWEKA NIA KWA STAILI YA JOGGING UBUNGE KAWE

 Gabriel Munasa (mwenye kofia) akiongoza vijana wa Kawe kukimbia mchaka mchaka (jogging) ikiwa sehemu ya kuwakutanisha wananchi pamoja ambapo pia alitumia fursa hiyo kuweka nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe na kama litagawanywa atagombea  Bunju.
Gabriel Munasa akishiriki mazoezi ya viungokwenye viwanja vya Kawe baada ya kumaliza jogging yenye lengo la kuwakutanisha vijana pamoja,kuwahamasisha kujiandikisha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,kuhamasisha vijana kujiunga kwenye vikundi vya maendeleo na kupinga matumizi ya madawa ya kulevya na ngono zembe. Picha na Adam Mzee

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.