Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Dkt.Nksazana Dlamini Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha Ikulu marais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini na Rais Yoweri Museveni wakati wa mkutano wa wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohusu mazungumzo ya amani ya Burundi.
Rais Zuma, akisalimiana na Rais Museven, walipokutana Ikulu Dar.
Marais wakiketi kwa mazungumzo kuhusu mgogoro wa Burundi. Picha na Fredy Maro
No comments:
Post a Comment