Habari za Punde

*KINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na Mwanza itakayoanza kesho tarehe 4.
 Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.