Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha
mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa
mkoba huo na Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib, kwenye Ofisi
za Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani
moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati
alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo Juni 4, 2015 kwa ajili ya
kuchukua fomu hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif
Khatib.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha
mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa
mkoba huo na Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib, kwenye Ofisi
za Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, wakati
akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma leo kwa ajili ya
kuzungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa Fomu hizo. Kulia ni Mzee
wa Chama cha Mapinduzi, Ramadhan Suleiman Nzori.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na waandishi wa Habari kwenye Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma,
baada ya kuchukua fomu, leo Juni 4, 2015. Kulia ni Mzee wa Chama cha Mapinduzi,
Ramadhan Suleiman Nzori.
Baadhi ya wana CCM waliohudhuria Mkutano wa Makamu wa Rais
Dkt. Bilal. alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi ya wana CCM waliohudhuria Mkutano wa Makamu wa Rais
Dkt. Bilal. alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipunga mkono kuwaaga wanachama wa CCM na wanahabari, wakati akiondoka kwenye
Ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, baada ya kuzungumza na waandishi wa
habari baada ya kuchukua fomu za kuwania urais.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Fomy za kusaka wadhamini, mmoja kati ya vijana waliojitolea
kusambaza fomu za kutafuta wadhamini, Saada Ilasi, baada ya mkutano na
waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia pamoja na mmoja kati ya vijana waliojitolea
kusambaza fomu za kutafuta wadhamini, Saada Ilasi, baada ya kumkabidhi fomu ya kusaka wadhamini,baada ya mkutano na
waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma.

No comments:
Post a Comment