Habari za Punde

*MBUNGE, MBATIA ATINGA VUNJO KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA, AKABIDHIWA KITAMBULISHO CHAKE

 Mbunge, James Mbatia, akichukuliwa alama za vidole wakati wa zoezi la uandikishwaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwenye kijiji cha Kwamare Kata ya Kirua Vunjo, jana.
 Mh Mbatia akiweka vidole gumba kwa ajili ya kuchukuliwa alama.
 Mh Mbatia akitia saini katika kifaa kimoja wapo kwa ajili ya kuweka kumbukumbu.
 Mh. Mbatia akihakiki kitambulisho chake kabla ya kuprintiwa
 Afisa uandikishaji akimkabidhi Mh Mbatia kitamburisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la uandikishaji.
 Mh Mbatia akionesha kitamburisho maalumu kwa ajili ya zoezi la kupiga kura litakalofanyika mwezi oktoba.
Msaidizi wa Mh Mbatia ,Hamis Hamis akikabidhiwa kitamburisho chake mara baada ya kumaliza zoezi la kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.