Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa India Nchini Tanzania, Debnath Shaw, anaye maliza muda
wake wa kazi nchini wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa
ajili ya kumuaga rasmi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa India nchini Tanzania, Debnath Shaw, baada ya mazungumzo
yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati
alipofika kwa ajili ya kuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.


No comments:
Post a Comment