Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MAALIM SEIF IKULU DAR

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya mazungumzo.  Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.