Habari za Punde

*RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI FINLAND

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi Dorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu nchini humo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokelewa na Balozi wa FinladDorah Msechu katika uwanja wa ndege wa Helsinki alipowasili tayari kwa ziara ya siku tatu ya nchi hiyo
 Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland.
 Rais Jakaya Kikwete akitembelea maabara ya majaribio ya kampuni ya kutengeza lifti ya KONE jijini Helsinki, Finland.
 Rais Kikwete, akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Finland ya basketball
 JK akitoa zawadi ya mchoro wa Tingatinga kwa viongozi wa kampuni ya KONE
 JK akitembelea  bandari ya Helsinki
 Rais Kikwete akipata mapokezi Rasmi kwa mwenyeji wake Rais wa Finland Mhe Sauli Niinisto

 Rais Kikwete na mwenyeji wake wakipokelewa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo.
 Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake.
Wakizungumza. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.