Habari za Punde

*BREAKING NEEEEWZZZZZZ!!!! KITUO CHA STAKISHARI UKONGA CHAVAMIWA, ASKARI SITA WAUAWA

HABARI zilizotufikia hivi punde kutoka maeneo ya Ukonga jijini Dar es Salaam, zinasema kuwa, watu wanaodaiwa kuwa ni Majambazi yakiwa na silaha za moto, yamevamia Kituo Kikuu cha Polisi cha Stakishari Ukonga na kufanya shambulio na kuua askari 6 waliokuwapo kituoni hapo na kutoweka na silaa kadhaa walizopora Kituoni hapo wakati wa tukio hilo. 
KAA NASI KWA TAARIFA KAMILI HAPO BAADAYE KWA KADRI ZITAKAVYOTUFIKIA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.