Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma, akipiga shuti huku beki wa Polisi Kombaini, Salmin Kissy, akijaribu kuzuia wakati wa mchezo wa kirafiki, uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-0, yaliyofungwa na Simon Msuva, Amis Tambe na Donald Ngoma. 
Simon Msuva, akiwatoka mabeki wa Polisi Kombaini, wakati wa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment