Mgombea wa Urais kati ya majina matatu yaliyopendekezwa kupigiwa kura, Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili ukumbini huku akipokelewa na wajumbe wa CCM kwa shangwe na ukumbi mzima kurindima kwa makelele ya kumlaki. Hivi sasa Mwenyekiti wa CCM Dkt. Jakaya Kikwete, anaendelea kuhutubia kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa CCM ili baadaye wagombea waweze kupigiwa kura na kupatikana jina moja.
Mandhari ya ukumbi/....
Wasanii wa kundi la TOT wakitoa burudani....
Wajumbe ukumbini....
Magufuli, akiendelea kulakiwa na wajumbe....
Wajumbe wakimpokea Magufuli....ukumbini
Shangwe na Vigelegele ukumbini....
Aliyekuwa mmoja kati ya wagombea walioingia tano bora, Benard Membe, akiwasili ukumbini
Magufuli, akiserebuka jukwaani.....
TOT wakitoa burudani
Baadhi ya Mabalozi.....waalikwa....
Kutoka (kushoto) Mama Zakia Bilal, Mama Asha Bilal na Asha Balozi Iddi
"Usijali Rafiki yangu, ndiyo Siasa hiyo kaka''.
Magufuli, akiwasalimia wake wa viongozi...
Mabox ya kupigia kura.... HIVI SASA WAGOMBEA WANAJIELEZA UKUMBINI, AKIANZA AMINA, ATAFUATA MIGIRI NA BAADAYE MAGUFULI.















No comments:
Post a Comment