Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Ali Mohamed Shein na Mjumbe Dkt.Mohamed Gharib Bilal, wakipiga makofi wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa CCM kwenye Ukumbi mpya wa CCM wa Convation Centre, mjini Dodoma jana usiku. Ambapo baada ya kufunguliwa kwa mkutano huo wagombea walisimama jukwaani na kuanza kujieleza na kuomba kura kura kwa wajumbe.
Mgombea Dkt. Amina Salum Ali, akijieleza na kuomba kura jana usiku.
Mgombea Dkt. Asha Rose Migiro, akijieleza na kuomba kura jana usiku.
Mgombea Dkt. John Pombe Magufuli, akijieleza na kuomba kura jana usiku.
Mwenyekiti na viongozi wa meza kuu wakipiga kura ya kuchagua mgombea.
Mama ZakiaBilal na Mama Asha Bilal, wakiwasikiliza kwa makini wagombea.
Msanii wa kundi la TOT mrithi wa Komba, Neka, akiimba jukwaani kibao kipya.
Wagombea wakipiga kura.....
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Badabida, akipiga kura....
Mboni Mhita akipiga kura....
Mgombea Asha Rose Migiro, akipiga kura..
Kijana wa CCM akibeba boksi la kura... HIVI SASA WAGOMBEA WOTE WAMESHAWASILI UKUMBINI TAYARI KUSUBIRI MATOKEO NA KUTANGAZWA KWA MGOMBEA ATAKAYEIWAKILISHA CCM KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU.












No comments:
Post a Comment