Habari za Punde

*MAGUFULI NDO MGOMBEA URAIS WA CCM

 Mgombea Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa chini ya ulinzi mkali baada ya kutangazwa kuibuka kidedea kwa kuwashinda wapinzani wake, Dkt. Asharose Migiro na Dkt. Amina Said Ali.
Magufuli ameibuka kidedea kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina Salum Ally, akiibuka na kura 253 na Asharose Migiro, akipatakura 59.  KAA NASI KWA MATUKIO KAMILI YAPICHA NAHABARI KAMILI
 Rais Jakaya Kikwete, akimpongeza Mgombea Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutangazwa mshindi.
 Rais Jakaya Kikwete, akimpongeza Mgombea Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutangazwa mshindi.

Magufuli, akiwa tayari amezungukwa na walinzi baada ya kutangazwa mshindi.
Magufuli ameibuka kidedea kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina SalumAlly, akiibuka na kura 253 naAsharoseMigiro, akipatakura 59.  KAA NASI KWA MATUKIO KAMILI YAPICHA NAHABARI KAMILI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.