Habari za Punde

*SUPLAIIIIIIZZZZZZZ!!!! SAMIAH SULUHU HASSAN NDIYO MGOMBEA MWENZA WA MAGUFULI MBIO ZA URAIS 2015

 Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, akimnyanyua mkono kumtambulisha mgombea mwenzake yaani Mgombea Mwenza, Samiah Suluhu Hassan, katika Mkutano Mkuu wa CCM unaoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi mpya wa CCM wa Dodoma Convetion Centre, mjini Dodoma. Ama kwa hakika ilikuwa ni (---).
 Mgombea Mwenza wa CCM, Samiah Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya kutangazwa kuwa mgombea Mwenza.
 Mgombea Mwenza, Samiah Suluhu, akipongezwa na Wake wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal, na Zakia Bilal, baada ya kutangazwa.
Mgombea Mwenza, Samiah Suluhu, akipongezwa na Mama Salma Kikwete na mke wa Mgombea, Mama John Magufuli.  KAA NASI BAADAYE KWA MATUKIO ZAIDI YA MKUTANO HUU KATIKA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.