Mkurugenzi wa Kampuni ya Cds Tanzania, Masoud Wannan, akiwaongoza Waumini wa Dini ya Kiislam wakati wa hafla ya Futari maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya Waumini wa dini ya Kiislamu na Wadau wa CDS iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ukumbi wa TCC Chang'ombe jana jioni.
Waumini wa dini ya kiislamu wakijisevia futari...
Baadhi ya wauimni wakijisevia chakula wakati wa hafla hiyo.
Wakipata ftari ...
Baadhi ya waumini wakifutari.....
Futari ikiendelea...
Futari ikiendelea....
Wakiomba dua baada ya futari....
Mkurugenzi wa Cds Masoud Wannan, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wake baada ya hafla hiyo. Picha na Miraji Msala
No comments:
Post a Comment