Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA, YANGA WANAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA SIMBA SASA NI KIPINDI CHA PILI

 Kipa wa Simba, Peter Manyika, akigaagaa, huku akiuangalia mpira uliopigwa na mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe katika dakika ya 44, ukitinga wavuni na kuandika bao la kwanza katika mchezo unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa. Hivi sasa ni kipindi cha pili
Wachezaji wa Simba wakiduwaa huku wa Yanga wakishangilia baada ya Amis Tambwe kutupia bao la kwanza katika dakika ya 44.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.