Habari za Punde

*MAAFALI YA TATU YA SHULE FOUNTAIN GATE ACADEMY, JIJINI DAR

 Kanali Iddi Kipingu, akavishwa skafu na mwanafunzi Junion Joseph, wakati alipowasili kwenye maafali ya tatu ya shule ya Fountain Gate Academy iliyopo Tabata, kama mgeni rasmi. Maafali hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
 Skauti  wakimuongoza mgeni rasmi, Kanali Iddi Kipingu na mkuu wa shule Bw  Julius Franec, kuelekea meza kuu wakati wa sherehe za maafali ya tatu ya shule Fountain Gate Academy iliyopo Tabata
 Baadhi ya Wanafunzi wa shule  Fountain Gate Academy wakiwa kwenye sherehe ya maafali ya tatu
 Baadhi ya walimu wa shule ya  Fountain Gate Academy wakiwa kwenye sherehe ya maafali ya tatu  
 Wanafunzi wa darasa la saba wakiwa kwenye maafali ya tatu ya shule ya Fountain Gate Academy yaliyofanyika jana katika viwanja vya shule hiyo ilipo Tabata
Wanafunzi wa chekechea wakiwa kwenye maafali ya tatu ya Fountain Gate Academy 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.