Bi Harusi Mtarajiwa, Ester Diana Nana, akipambwa katika Saluni ya iliyopo Peacocl Hotel, kwa maandalizi ya sherehe yake ya kuagwa leo katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Urembo ukiendelea....
Ester akiwa katika pozi
Ester Diana Nana, akiwa na Matron wake, Hellen Emmanue baada ya kupendezeshwa tayari kuelekea ukumbini.





No comments:
Post a Comment