Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha
Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama
mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara
(Mara Day) iliyofanyika Butiama.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka
Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho
Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya
Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama. Kushoto ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji
wa Kenya, Eugene Wamalwa.
Makamu
wa Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa sherehe za maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mara (Mara
Day) zilizofanyika kwenye Uwanja wa
Mwenge, Butiama mkoani Mara leo.
KWA PICHA ZA SHEREHE HIZI NA HABARI KAMILI ZITAWAJIA HAPO BAADAYE



No comments:
Post a Comment