Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais(Mazingira) Dkt. Binilith Mahenge akizungumza na
waandishi wa habari leo katika ukumbi wa
mikutano wa ofisi jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya siku ya kimataifa
ya hifadhi ya tabaka la ozone yakayofanyika kesho Septemba 16, mwaka huu.Kulia
ni Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Injia Adelina Madete. Picha na Maelezo
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
1 week ago
No comments:
Post a Comment