Habari za Punde

*MASHEIKH WA TANZANIA WAWASILI SALAMA MJI MTAKATIFU WA MAKKA KUTEKELEZA IBADA YA HIJA

Sheikh Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania,  Sheikh Abubakar Zubeiry (kushoto) Sheikh Mkuu wa Mtoa wa Dar es Salaam,  Sheikh Alhad Mussa (kulia) na Sheikh Sayd Hassan, kutoka Kenya. wakiwa katika picha ya pamoja,  katika mji mtakatifu wa Makka, walikokwenda kutekeleza Ibadaa ya  Hija. Sikukuu ya Eid El Haj inatarajia kuwa Septemba 24.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.