Habari za Punde

*MWENDESHA PIKIPIKI MAARUFU DAR VOLVO AFARIKI DUNIA

Mwendesha pikipiki maarufu wa Kambi ya Ilala, Ludan Volvo, (pichani enzi za uhai wake) akiwa katika mazoezi kwenye Viwanja vya Tanganyika Parkers Kawe. Volvo amefariki dunia kwenye Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. 

Kesho Jumatano saa tano asubuhi, waendesha Pikipiki wote wanakutana Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya kutoa heshima zao za mwisho, na baada ya hapo wataongoza msafara na kumsindikiza hadi Bagamoyo wakielekea Mkoani Kilimanjaro kwa Maziko.  Mungu ilaze roho ya marehemu Volvo mahala pema peponi amina.

1 comment:

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.