Habari za Punde

*KAMERA YA SUFIANIMAFOTO MITAANI LEO NA MATUKIO MBALIMBALI

 Kijana mmoja ambaye hakujulikana jina lake mara moja akiwa ameuchapa usingizi katika mtaa wa Buguruni Relini kama alivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto. Haikuweza kufahamika kijana huyo alikuwa na tatizo gani...
 Eneo hili la KIbaha Picha ya Ndege likiwa wazi baada ya kubomolewa kwa maduka yaliyokuwa eneo hili kwa kile kilichoelezwa kuwa lilikuwa ni eneo la hifadhi ya barabara.
 Basi liendalo kasi likipakia abiria katika Kituo cha Mbezi Mwisho jijini Dar esSalaam.
 Kijana akipata msosi eneo la Buguruni, pembezoni mwa barabara ya Mandera .....
 Mandhari nzuri ya Mji wa Rombo.....
Waendesha Bajaji na Bodaboda wakizuiliwa kuvunja sheria kwa kutaka kutokea mlango wa kutokea mabasi makubwa katika Kituo cha Ubungo, ambapo kiongozi msimamizi wa geti hilo akiwaamuru kurudi na kupita katika geti husika.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.