Jengo la Benki ya Azania lililopo Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam, limenusurika kuwaka moto baada ya shoti iliyotokana na waya wa umeme uliokatika na kuning'inia nje ya jengo hilo katika maegesho ya magari. Waya huo uliokuwa ukining'inia ulivutwa na moja ya gari lililokuwa likirudi nyuma ili kutoka na kuukata na kusababisha kizaa zaa hicho. Haikuweza kufahamika chanzo cha waya huo kukatika
Eneo hilo likifukuta moshi baada ya shoti hiyo....
Waya huo ukiwaka moto angalia alama nyekundu iliyozungushiwa.



No comments:
Post a Comment