Habari za Punde

*KOCHA MPYA WA AZAM FG ATUA DAR KURITHI MIKOBA YA STEWART HALL

 Kocha Mkuu Mpya wa Timu ya Azam FC, Zeben Hernandez (katikati) akiongozana na msaidizi wake, Rayco Gacia (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa timu hiyo, Sadi Kawemba,baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaamjana kwa ajili ya kuingia mkataba wa makubaliano kukinoa kikosi cha Wana Lambalamba Azam Fc, katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.