Habari za Punde

*VIWANDA BUBU VYA MAJI YA VIROBA A.K.A KANDORO

 Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akiandaa biashara yake ya maji ya Viroba, kama alivyonaswa wakati akijaza maji hayo katika eneo lake la biashara Buguruni jijini Dar es Salaam, jana. Maji hayo maarufu kwa jina la Kiroba au Kandoro, huuzwa kila moja kwa Sh. 100.
 Kijana akiendelea na kazi yake,  Maji haya hutumiwa zaidi na vijana wanaojishughulisha katika maeneo hayo hata watu wazima waliozoea kuyatumia ambao daima hawadhuliki na maji hayo.
 Biashara hii hata kina mama pia hawapo nyuma, hapa mdada huyu ambaye pia hakuweza kufahamika jina lake mara moja akijaza maji tayari kuwauzia wateja wake.
 Akiendelea kujaza maji hayo.....
Mmoja kati ya vijana walioajiliwa kutembeza biashara hiyo, akikatiza katika mitaa kwenye vijiwe vya kuuzia chakula kwa ajili ya kunadi biashara yake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.