Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Hapi akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Hapi akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Hapi akimpeleka katika eneo la tukio Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Hapi akimuongoza kwenda kwenye eneo la tukio Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Waumini wa Kanisa la The Pool of Siloam, wakishangilia wakati Kiongozi Mkuu wa Kanisa hilo Elisha Eliya miaka 1000 na waumini hao, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Muumini akipiga mbinja za furaha wakati wa hafla hiyo
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Salum Hapi akiwa meza kuu na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Katibu tawala akiongoza shughuli kuanza rasmi
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, akifanya maombi kabla ya shughuli kuanza rasmi, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Wauini wakishangilia baada ya maombi
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, akitoa hoyba yake kabla ya kukabidhi hundi, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi sh. milioni 19.3 kwa ajili ya mchango wa madawati katika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Salum Hapi akipokea hundi ya sh. milioni 19.3, kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo na waumini wa kanisa hilo, walipofika kukabidhi fedha hizo kwa ajili ya mchango wa madawati kaika wilaya ya Kinondoni, leo Juni 14, 2016.
Hapi akimshukuru
Hapi akikabidhi hundi hiyo kwa Mkurungezi wa Manispaa ya Kinondoni, Aaron Kagurumjuli
Hapi akizungumza kutoa neno la shukurani, ambapo pia aliwataka viongozi wengine wa Makanisa na Misikiti na Taasisi nyingine mbalimbali zilizopo katika wilaya ya Kinondoni kuiga mfano wa Kanisa la The Pool of Siloam, kwa namna Kanisa hilo na waumini wao waliovyoona umuhimu wa kumuunga mkono Rais Dk. John Magufuli kwa kuchangia madawati ili lengo la elimu bure lifanikiwe.
Hapi akisistiza jambo
"Tazama mnapotoa michango kusaidia elimu, mnasaidia mtoto kama huyu kuja kuwa hapo baadae kiongozi wa Kanisa, Waziri au Daktari, na atakapokuwa katika nafasi yoyote ya kuhudumia Jamii, hatachagua itikadi za chama chochote, dini au kabila" alisema Hapi wakati akizungumza kwenye hafla hiyo
Hapi akiendelea kuzungumza
Hapi akimshukuru Kiongozi wa kanisa la The Pool of Siloam mwishoni mwa hafla hiyo
Baadhi ya waumini wakimshangilia Kiongozi Mkuu wa Kanisa la The Pool of Siloam, Elisha Eliya miaka 1000, wakati Kiongozi huyo akiondoka kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni baada ya hafla hiyo kumalizika. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
No comments:
Post a Comment