Mnufaika wa Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo wa Kujiandaa na Kupunguza Athari za Maafa katika Maeneo yaliyoathirika na Ukame Bi.Neema akifurahia mafanikio ya kununua ng’ombe mara baada ya kuuza kuku aliozalisha kupitia mradi huo katika Kata ya Makanya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.
Mwenyekiti wa Kikundi cha Ujamaa Bi. Khadija Mrutu akihudumia mifugo aliyozalisha kupitia Mradi wa Kuijengea Jamii Uwezo wa Kujiandaa na Kupunguza Athari za Maafa katika Maeneo yaliyoathirika na Ukame unaoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kutembelewa na Wadau wa mradi huo kwa kufanya tathimini za utekelezaji wake.
No comments:
Post a Comment