Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akipokea taarifa ya
makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga
kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba akizungumza na aliyekuwa Waziri
wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga (kushoto) pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara
hiyo, kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo,
mara baada ya Wizara Mwigulu kupokea taarifa ya makabidhiano.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akimsikiliza Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wa pili kulia) alipokuwa
anazungumza kabla ya aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga (wa tatu
kulia) kukabidhi ofisi kwa Waziri Mwigulu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Balozi
Simba Yahya.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto) akimsikiliza Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia) mara baada ya
aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga (katikati) kukabidhi ofisi
kwa Waziri Mwigulu.
Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kushoto), aliyekuwa Waziri wa Wizara
hiyo, Charles Kitwanga wakifurahi jambo mara baada ya Waziri Mwigulu kupokea
taarifa ya makabidhiano katika tukio lililofanyika ofisini kwa Waziri huyo, jijini
Dar es salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (wa pili kushoto) akipokea taarifa ya makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Charles Kitwanga kwenye ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment