Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Alex Nkenyengeakisisitiza jambo wakati alipotembelea kuangalia maendeleo ya uwekaji wa mashine za tiketi zakieletroniki katika Uwanja wa Taifa leoJuni 27,2016
Mhandisi kutoka kampuni ya B.C.E.G ya China Bw. Xiong (kushoto) akifafanua jambo kwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleoya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Alex Nkenyenge (kulia) kuhusu mashine za tiketi za kieletronikizinazotarajiwa kutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa leo
Mtaalamu kutoka kampuni ya Selcom Bw. Adrew Emmanuel akirekebisha moja ya mashine za tiketi za kieletroniki zinazotarajiwakuanza kutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi wakijaribu kutumia mashine ya tiketi za kieletroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika kuingia katikaUwanja wa Taifa hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi wakijaribu kutumia mashine ya tiketi za kieletroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika kuingia katikaUwanja wa Taifa hivi karibuni.
Moja ya mashine ya tiketi za kieletroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa hivi karibuni. Picha na Raymond Mushumbusi WHUSM
No comments:
Post a Comment