Habari za Punde

*MABONDIA IBRAHIMU TAMBA, HUSSEIN ITABA WASAINI KUZICHAPA SIKU YA KUZIMWA SIMU FEKI JULAI 16

Mabondia, Hussein Itaba (kushoto) akitunishiana misuli na Ibrahimu Tamba baada ya kusaini mkataba wa kupanda ulingoni kuzipiga julai 16 katika ukumbi wa traveltain uliopo magomeni jijini Dar esDalaam. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.