Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani Khijjah, akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko
huo wakati wa zoezi la kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa mwaka
2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano Dar es Salaam,
(DCC). Tukio hilo lilifanyika wakati wa Kikao cha Baraza la wafanyakazi. Picha na Mafoto Blog
************************************
Akizungumza baada ya kukabidhi Vyeti hivyo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Ndugu Khijjah, aliwapongeza Wafanyakazi bora wa 2015/16 wa Mfuko huo kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini na kuwataka Wafanyakazi wote wa PPF kufanya kazi kwa bidii bila kurudi nyuma ili kuendelea kutimiza malengo.
Katika Kikao hicho jumla ya Wafanyakazi 22, kutoka Kurugenzi na Idara mbalimbali walikabidhiwa vyeti vya Wafanyakazi Bora na Mwenyekiti huyo.

Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa William Erio, akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmi
wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa
mwaka 2015/16, iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano Dar es Salaam, (DCC) jijini, leo Juni 14, 2016.
Mkurugenzi
wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Julius Mganga,
akizungumza wakati wa Kikao hicho.
Baadhi
ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi wakati
akihutubia katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kutoa Vyeti kwa wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa
hafla ya utoaji Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam
(DCC).
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na utoaji Vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam
(DCC).
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam
(DCC).
Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao

Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao. Kulia ni Meneja Rasilimali Watu Adolar Duwe
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti mfanyakazi bora wa Kurugenzi ya
Uendeshaji, Mary Myamba, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti kwa Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC). Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti mshindi wa Kanda ya Mashariki na Kati
katika Kurugenzi ya Uendeshaji, David Ngamesha, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika
leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC). Katikati
ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni
rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF, Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi
wa Kanda ya Ziwa katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Evarist Ikwalala, wakati wa
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam
(DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Godwin A. Godwin, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam
(DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Kusini katika Kurugenzi
ya Uendeshaji, Shida Michael, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Kaskazini katika
Kurugenzi ya Uendeshaji, Emmanuel Tarimo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi
Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni
14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni
rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF, Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi
wa Kanda ya Ilala katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Godlisten Gilliard, wakati wa
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam
(DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni
rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF, Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi
wa Kanda ya Kinondoni katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Phillipo Kimario, wakati
wa Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka
2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es
Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Temeke katika Kurugenzi
ya Uendeshaji, Sosthenes Lyimo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio.
Mgeni
rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF, Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi
wa pili katika Kurugenzi ya Uhasibu, Witness Patrick, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika
leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya
Uhasibu, Agness Ndesingo, wakati wa Kikaoc cha Barazala Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Uwekezaji,
Agustine Paul, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa
Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha
mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William
Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Huduma
za Sheria, Enelia Majo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi
ya Ukaguzi wa Ndani, Omar Katundu, aliyepokea kwa niaba ya Kalege Enock, wakati
wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka
2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es
Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Ofisi ya
Mkurugenzi Mkuu, Julie Mtambo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa pili katika Kurugenzi
ya Mifumo ya Habari, Goodluck Msangi, aliyepokea kwa niaba ya Idd Hamis, wakati
wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka
2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es
Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi
ya Mifumo ya Habari, Baraka Mselemu, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14,
2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni
rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF, Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi
wa pili katika Kurugenzi ya Rasilimali Watu na Utawala, Anthony Mkinga, wakati
wa Kikao cha Barza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka
2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es
Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Rasilimali
Watu na Utawala, Jacob Msigwa, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi
bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo
cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi
ya Menejimenti ya Majanga, Diana Kimaro, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi
Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni
14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Mgeni rasmi,
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,
Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora wa Mfuko kwa
mwaka 2015/16, Omar Katundu, aliyepokea kwa niaba ya Kalege Enock, wakati wa
Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16
iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam
(DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
Baadhi
ya wafanyakazi wakipongezana baada ya kupokea Vyeti vyao.
Baadhi
ya wafanyakazi wakipongezana baada ya kupokea tuzo hizo.
Viongozi wa
Mfuko huo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16.
Picha
ya pamoja Viongozi, Wakurugenzi na Wafanyakazi bora.
Picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment