Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AAGANA NA BALOZI WA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Sein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang alipofika Ikulu Mjni Zanzinar leo kwa ajili ya kuaga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Sein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang alipofika Ikulu Mjni Zanzinar leo kwa ajili ya kuaga. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.