Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe, Augustino Mahiga, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KImataifa Mhe, Augustino Mahiga alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment