Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheuin akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzanzia Mhe,Song Geum-Young alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheuin akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzanzia Mhe,Song Geum-Young alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumsalimia Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheuin akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzanzia Mhe,Song Geum-Young alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada mazungumzo yao. Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment