Habari za Punde

*WABUNGE WA UPINZANI WATOA MPYA, WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE WAZIBA MIDOMO KWA GUNDI

 Wabunge wa Upinzani wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma huku wakiwa wameziba midomo kwa gundi baada ya kususia kikao cha Bunge na kuamua kutoka nje wakati Spika wa Bunge akiingia kwa ajili ya kuanza kikao cha Bunge leo.
Pichani ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,James Mbatia, akizungumza na waandishi wa habari na baadhi ya Wabunge wakiwa wamejiziba midomo kwa gundi na ujumbe katika midomo yao nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya Wabunge hao kususia kikao hicho na kutoka nje wakatia Spika wa Bunge alipokuwa akiingia ukumbini humo leo asubuhi.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,James Mbatia, akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya Wabunge hao kususia kikao hicho na kutoka nje wakatia Spika wa Bunge alipokuwa akiingia ukumbini humo leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.