Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, kijiji cha Mtama (hawapo pichani) wakati wa ziara yake katika Halmashauri Mkoa wa Lindi na Mtwara kuangalia usikivu wa vituo vya Redio na Televisheni vya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel( wa pili kulia) akizungumza na wawakilishi Kutoka Star Times wakati wa ziara yake katika Halmashauri Mkoa wa Lindi na Mtwara kuangalia usikivu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kulia ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Dkt Ayoub Riyoba.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja wawakilishi kutoka kampuni ya Star Times na wanakijijji wa kijiji cha Mtama wakati wa ziara yake katika Halmashauri Mkoa wa Lindi na Mtwara kuangalia usikivu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashuri ya Lindi Bw. Matei Makwinya. PICHA NA WHUSM
No comments:
Post a Comment