Habari za Punde

*WAZIRI MBARAWA AFUNGUA MKUTANO WA 19 WA USAFIRI WA ANGA KWA NCHI ZA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC)

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifungua mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) Bwana Hamza  Johari akifafanua jambo katika mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam, leo.
Mkuu wa oganaizesheni ya Usafiri wa Anga kwa nchi za SADC Bwana Geofrey Moshabesh akitoa taarifa ya utekelezaji wa masuala ya usalama wa anga kwa wajumbe wa mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam leo.
Wajumbe wa  Mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. Picha na Benjamin Sawe-Maelezo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.