Kikosi cha Yanga, hadi muda huu ni kipindi cha pili Yanga bado wanaongoza bao 1-0 dhidi ya Mo Bejaia bao lililofungwa na Amis Tambwe katika dakika za mwanzo za kipindi cha kwanza kufuatia mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na Juma Abdul.
Kikosi cha Mo Bejaia.
Mashabiki wa Yanga wakiwakebehi watani zao Simba. KAA NASI KWA MATOKEO KAMILI YA MCHEZO HUU HAPO BAADAYE.
No comments:
Post a Comment