Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa (kushoto) akiwania mpira na beki wa Mo Bejaia, Amar Benmelouka, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Amis Tambwe katika dakika ya 3 kipindi cha kwanza akimalizia mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na Juma Abdul.
Kiungo wa Yanga Thaban Kamusoko, (kushoto) akimfinya beki wa Mo Bejaia, Bejaia, Amar Benmelouka, wakati wa mchezo huo, KWA HABARI KAMILI NA MATUKIO YA PICHA ZA MCHEZO HUU KAA NASI BAADAYE.
No comments:
Post a Comment