Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine
Mrema akisisitiza jambo kwa wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja
wa Fisi wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao
hasa akina mama.
Mjumbe wa Bodi ya Parole akizungumza na
wananchi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa
Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili
wakazi hao hasa akina mama, kulia ni mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Ben Mwalutende.
Baadhi ya Wanancihi wa Mtaa wa Pakacha kata ya
Tandale Uwanja wa Fisi wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Parole
Dkt. Augustine Mrema (hayupo pichani) wakati alipokwenda kusikiliza kero
mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Pakacha kata ya
Tandale Uwanja wa Fisi akimkaribisha Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa Bodi ya Parole
Dkt. Augustine Mrema wakati alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali
zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
Msoma Risala kwa niaba ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi wakati Mwenyekiti wa Bodi hiyo Dkt. Augustine Mrema alipokwenda kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wakazi hao hasa akina mama.
Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya
Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa
Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema (hayupo picha) kero mbalimbali
zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema
hii leo.
Mmoja ya wakazi wa Mtaa wa Pakacha kata ya Tandale Uwanja wa Fisi ambaye jina lake halikupatikana akimueleza Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Dkt. Augustine Mrema kero mbalimbali zinazowakabili hasa akina mama wakati Mwenyekiti huyo alipowatembelea mapema hii leo.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo.
No comments:
Post a Comment