Habari za Punde

*SERENGETI BOYS WAENDELEA KUJIFUA SAUZI KUWAKABILI AFRIKA YA KUSINI KESHO

 Kocha wa Makipa wa timu ya Vijana chini ya miaka 17, ya Serengeti Boys, Juma Kaseja, akiwaongoza makipa wa timu hiyo kujifua wakati wa mazoezi yao leo asubuhi kujiandaa na mchezo wao na Afrika ya Kusini kesho. 
 Vijana wakijifua........ 
 Viongozi wa Serengeti Boyz na wachezaji wakiomba dua baada ya kumaliza mazoezi leo asubuhi.
 Picha ya pamoja wachezaji na viongozi
Mazoezi yakiendelea....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.