Baadhi ya abiria wakiwa ndani ya Behewa la Treni ya Express tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Kigoma jana
****************************************************
SHIRIKA la Reli Tanzania TRL limeanzisha safari za kuelekea Mkoani Kigoma kwa Treni ya Expresss, iliyoanza rasmi ktoa huduma hiyo jana kutoka jijini Dar es Salaam, kuelekea Kigoma.
Lakini pamoja na kuanza kwa usafiri huo bado abiria wanachangamoto kubwa ya upatikanaji wa tiketi jambo ambalo limelalamikiwa na baadhi ya abiria.

No comments:
Post a Comment