Menu

▼

Monday, August 8, 2016

*WAZIRI NAPE AZINDUA MSIMU WA TATU WA CLUB RAHA LEO SHOW JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga gitaa na kuimba wakati wa uzinduzi wa shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Dk. Ayoub Rioba(kulia) walipokuwa wakijadiliana jambo wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
 Afisa Habari Mwandamizi kutoka Wizara wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Jonas Kamaleki (kushoto) akifatilia uzinduzi wa wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
 Mmoja wa majaji wa shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu Bi. Marium Migomba (Kulia) akiwasalimia mashabiki mara baada ya kuzinduliwa wa shindano hilo Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam katikati na Jaji mkuu Innocent Nganyagwa na kulia ni Jaji Beatus.
 Wasanii wa bendi ya Utalii wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam Agosti 7,2016 . 
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga gitaa na kuimba wakati wa uzinduzi wa shindano la Club Raha Leo msimu wa tatu katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam Agosti 7,2016.
 Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) Dk. Ayoub Rioba akipiga ngoma wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Bongo Movie Steve Nyerere akiimba wakati wa uzinduzi wa Club Raha leo Show msimu wa tatu Agosti 7,2016 katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex Tegeta Jijini Dar es Salaam. Picha Zote na Raymond Mushumbusi WHUSM

No comments:

Post a Comment