Mchezaji wa timu ya Mwandege Fc akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Mkamba Fc,wakati wa mchezo wa Nusu fainali wa Kombe la Ulega lililomalizika jana,huku Mkamba wakiibuka kidedea kwa mabao 2-1.
Timu hiyo ya Mwandege kutoka kata ya mwandege imefanikiwa kuingia hatua ya Nusu fainali baada ya kuisambaratisha timu ya Mkamba ya kata ya mkamba kwa mabao 2- 1
Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mkamba Fc kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu fainali kati yao na Mwandege Fc
Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Mwandege kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu fainali kati yao na Mkamba Fc
Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Mwandege iliyobuka na ushindi katika mashindano ya kombe la Ulega.
Mbunge wa Mkuranga , Abdallah Ulega akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Mkamba wakaati wa mchezo wakirafiki uliopigwa jana Mkuranga.
No comments:
Post a Comment