Wachezaji wa Azam Fc wakiwa katika mazoezi yao ya pamoja nchini Afrika ya Kusini katika Uwanja wa Trans Orange, kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Mbabane ya nchini Swazland unaotarajia kuchezwa siku ya jumapili wiki hii.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muun...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment