Mwezeshaji,
ambaye ni Meneja wa Programu wa FCS, Francis Uhadi, akiendesha mafunzo kwa Wana
Asasi za kiraia kuhusu Kutambua na kuvuna matokeo ya Miradi,wakati wa mafunzo
hayo ya siku tatu yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya The
Foundation For Civil Society, yaliyomalizika
kwenye Hoteli ya Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, leo. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo hayo
Mshiriki (kulia) akichangnua jinsi alivyoelewa somo kwa mwezeshaji
Washiriki wakipata kifungua kinywa.
No comments:
Post a Comment