MCHORAJI aliyejitambulisha kwa jina la Waa Sigana, akichora katika Bampa la Pikipiki kama alivyokutwa na mpiga picha nje ya Ofisi yake iliyopo pembezoni mwa mto Msombazi. Sigana huchora kila Bampa moja kwa Sh. 5000.
MBINU ZA MAWASILIANO YATAJWA KUWA UFUNGUO WA MAFANIKIO YA NISHATI SAFI YA
KUPIKIA
-
Na Janeth Raphael - MichuziTv
Katika kuimarisha juhudi za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia
nchini, waandishi wa habari na maafisa mawasil...
48 minutes ago
No comments:
Post a Comment