Mwanasheria
wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto,WLAC, Wigayi Kissandu,
akizungumza wakati wa mafunzo maalum kwa Wafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Hananasifu, kuhusu Ukatili wa KIjinsia kwa ikiwa ni sehemu ya Kituo hicho
kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa duniani kote jana. Kulia
ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa shule hiyo, Fatma Niyopa (kushoto) ni Mwanasheria
wa Kituohicho, Abia Richard.
Mwanasheria
wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, WLAC, Wigayi Kissandu,
akizungumza wakati wa mafunzo maalum kwa Wafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Hananasifu, kuhusu Ukatili wa Kijinsia kwa ikiwa ni sehemu ya Kituo hicho
kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani iliyoadhimishwa duniani kote jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Hananasifu wakimsikiliza mgeni rasmi Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto, WLAC, Wigayi Kissandu.
Mwalimu wa shule hiyo akiwafafanulia jambo wanafunzi hao kuhusu Kituo hicho.



No comments:
Post a Comment